Connect with us

Reviews

Baada Ya Ally Mahaba Kuteka Mitandao Kwa “Tuoane”.Otile Na Masauti Waamua Kujibu.

Published

on

Ally Mahaba ni msanii mpya ambaye yupo kwenye usimamizi wa ATL MUSIC na ndio msanii anayekuja kwa kasi sana kutoka pwani.Jana usiku wa saa mbili aliamua kutoa kipigo cha mwaka kinachoitwa “Tuoane”.

Mikono ambayo ilioshika kazi hio ni mikubwa toka kwenye nyimbo mpaka kwenye kideo.Kwenye Uzalishaji wa nyimbo ni Shirko ambaye ndio mmiliki wa Shirkomedia na uzalishaji wa video ni Guy G.

Leo Ijumaa Masauti na Otile Brown wakaamua kuleta taharuki kwenye soko la mziki kwa Masauti kuachia “Leo Ni Leo”.

Na Otile Brown Kuachia “Amor” aliomshirikisha msanii ambaye yupo kwenye usimamizi wake anayefahamika kama Jovial.

I am a swahili blogger and a content creator for mgahawani.com Get me through yusuf@mgahawani-5ddae7.easywp.com

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Like Us on Facebook

Copyright © 2020 Mgahawani Media.